capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Nimeenda huko lakini stress ziko pale pale. Nikopeshe laki moja pengine steresi zitapungua [emoji16][emoji16][emoji16]
Ina maana sisi wenye TECNO hatupaswi kuwabishia wenye iPhone? Huo ni unyanyapaa sasa [emoji23][emoji23][emoji23]Unakuta unabishana na mtu JF kumbe Hana hata iPhone smh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimeenda huko lakini stress ziko pale pale. Nikopeshe laki moja pengine steresi zitapungua [emoji16][emoji16][emoji16]
Akihama na huyu aisee nitashangaa sana. 10+ years anamshambulia Lowassa na CCM via Mwanahalisi. Leo ahame no wei...Hapo ujue ndiyo keshaamua hivyo
Huo mti inafaa tuuchimbue kitaalamu tuuhamishie kwenye makao makuu ya ofisi zetu za CHAWAMITA
Conceptually haiwezekani kabisa kabisa? Kwa vile zinavutana and therefore cancel each other ama?Its just the idea but in actual sense hakuna proper movement hapo.
Huo mti inafaa tuuchimbue kitaalamu tuuhamishie kwenye makao makuu ya ofisi zetu za CHAWAMITA
Huyu bado anacheza. Hasikiki mbona?
Kama lowassa alitukanwa karne kwa karne na chadema mwisho wa siku kahamia huko kwa huyu inawezekana kabisaaaAkihama na huyu aisee nitashangaa sana. 10+ years anamshambulia Lowassa na CCM via Mwanahalisi. Leo ahame no wei...
Bado ni motoHuyu bado anacheza. Hasikiki mbona?
Huyu ndo alikuwa mtukanaji. Ila mianasiasa ndivyo ilivyoKama lowassa alitukanwa karne kwa karne na chadema mwisho wa siku kahamia huko kwa huyu inawezekana kabisaaa
Ha hahIna maana sisi wenye TECNO hatupaswi kuwabishia wenye iPhone? Huo ni unyanyapaa sasa [emoji23][emoji23][emoji23]
Binti mrembo...Halafu huyu jamaa wa nyuma huyu mh...