Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

446711427_209524.jpeg
 
Conceptually haiwezekani kabisa kabisa? Kwa vile zinavutana and therefore cancel each other ama?
Hizo sumaku zinavutana, na kwasababu zinakua na nguvu ya uvutano iliyo sawa haziwezi kusababisha movement hadi iwepo force ya nje ambayo mwenye idea alikusudia isababishwe na gari. Hiyo gari haina act of motion isipokuwa sumaku ambayo ina hitaji nguvu ya nje ili isababishe movement, ina anzaje ku-move.?

Na hata akifanikiwa ku-move haileti efficiency kutokana na tabia ya usumaku.
 
Hizo sumaku zinavutana, na kwasababu zinakua na nguvu ya uvutano iliyo sawa haziwezi kusababisha movement hadi iwepo force ya nje ambayo mwenye idea alikusudia isababishwe na gari. Hiyo gari haina mafuta inategemea sumaku ambayo ina hitaji nguvu ya nje ili isababishe movement, ina anzaje ku-move.?

Na hata akifanikiwa ku-move haileti efficiency kutokana na tabia iliyonayo sumaku.
Sasa mi na TECNO yangu hapo nitaongezea nini tena? Umemaliza kila kitu kamanda !!!
 
Back
Top Bottom