Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
5. ZAHERA AIKUBALI SIMBA
Nadra sana kuona makocha hasa wa timu kongwe za Simba na Yanga kuipongeza timu pinzani, kwa mara ya kwanza katika mechi ya Jumapili ya Septemba 30, Mwinyi Zahera alikubali kiwango cha wapinzani wake.
Huenda kukabali kwake Simba ni timu bora kuliko yake kulisaidia kupata matokeo hayo ya sare ambayo yalikuwa na faida kwao baada ya kushinda mechi nne mfululizo.