capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Ahsante,Hapa ni gulio la habari.
Ukiwa na habari mpya iweke hapa,
ukiwa na simulizi tupia,
Ukiwa unataka ushauri funguka,
Kwa kifupi hapa kuna watu wa kila fani, watakupa likes na maarifa pia