myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
kila mtu ni muhimu sana
Sijambo Numbu naona unakula ubuyu tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uchokozi huo
Sijambo,za wewe?
Wewe una hatariNilitamani sana yeboyebo wapakatwe na mumewe leo[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
AiseeUnahamaje mjini kwa mfano?
Ubuyu unamwachia nani?
Amun RaAsante bro. Nami nimekuelewa sana.
Hata hivyo napenda nikwambie kitu kimoja. Mwaka jana mwezi wa 12 binafsi nilipitia kipindi kigumu sana na nilikuwa mbali na nyumbani. Kidogo nikate tamaa. Kilichonisaidia ni watu wa hapa hapa katika uzi huu. Kuna watu walikuwa tayari kunisikiliza, kunitia moyo, kunishauri na hata kuniombea. Na kwa vile hakuna tatizo linalodumu milele kweli kipindi hicho kigumu kilipita na maisha yakaendelea. Hapa tunaweza kugongana mara moja moja pengine kwa sababu za kisiasa, mapenzi, dini na hata matani yaliyozidi kipimo lakini ukweli tunaishi kama ndugu. Ndiyo maana nimekuwa nikisema kuwa kama unataka kubadilishana mawazo jisikie huru kuongea na wadau hapa. Na zaidi ya yote Mtegemee Mungu.
Ni hayo tu mkuu. Mungu Aendelee kutubariki sote [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Tule likes sasa tena kwa roho safiii...
Nafikiri kisayansi inawezekana ukizingatia tareheMimi pia nahitaji kavulana kamoja tu...
Kuna thread humu zinazungumzia mambo ya kufanya ili kupata mtoto wa kiume. Na mtandaoni zimejaa kibao. Sina uhakika kama zina scientific truth though..na kumbuka kuwa anayeamua jinsia ya mtoto ni mwanaume kwa hivyo hilo ni jukumu lake
AminaTushuru Mungu kwa kila jambo...
Naiomba kheri faraja na furaha kwangu na kwa kila atakayesoma hapa!
Uzima kwa walio dhaifu...ujasiri kwa wazima...na neema kwa wahitaji... huruma..na pole kwa walio shidani....
Mkuu upo za masiku teleNakuangalia kwa [emoji102] haya...
Mimi mwenyewe navitamani vibinti vibichi virembo
Mchina mweusiMatokeo hayana kanuni