She is good actress...Taraji [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]I love her personality
Duuuh kwa kweli, hapo inapaswa uwe na kajiko ka stovuWahenga peke yake ndo wataelewa hii ni nini?View attachment 883343
Usifike ndiyo lakini tayari upo safarini! Wengine tunajua kabisa hatuna safar, lakini bado posho ya safari tunaitaka.Ili ufike Majita kutokea Dar ni lazima safari uianzie Dar...Lakini pia huko njiani kunaweza kuwa na ajali na matatizo mengine ukashindwa kufika Majita kwa wakati na unaweza hata kuahirisha safari kabisa...Lakini lengo lako lilikuwa ni kufika Majita...
siasa pesa...Malalamiko deile? Kwenye siasa? View attachment 883344