Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kama ni hivyo aisee kuanzia sasa hata uweke topiki controversial namna gani hutaniona nikikubishia au kusema lolote [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Ha hah
Eeh inabidi ununue kwa iphone ndo uje kunibishia humu
Shkamoo VAR[emoji119][emoji119][emoji119]
Hana madhara kama huyu jamaaBinti mrembo...Halafu huyu jamaa wa nyuma huyu mh...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]marahabaa carbaShkamoo VAR[emoji119][emoji119][emoji119]
VAR ndo jina umejipa baada ya kuikosa Buguruni Sweetheart ama?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]marahabaa carba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]marahabaa carba
Hizo sumaku zinavutana, na kwasababu zinakua na nguvu ya uvutano iliyo sawa haziwezi kusababisha movement hadi iwepo force ya nje ambayo mwenye idea alikusudia isababishwe na gari. Hiyo gari haina act of motion isipokuwa sumaku ambayo ina hitaji nguvu ya nje ili isababishe movement, ina anzaje ku-move.?Conceptually haiwezekani kabisa kabisa? Kwa vile zinavutana and therefore cancel each other ama?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]utachekwa bro. Google utaiona inaitwa Video Assistance RefereeVAR ndo jina umejipa baada ya kuikosa Buguruni Sweetheart ama?
Sasa mi na TECNO yangu hapo nitaongezea nini tena? Umemaliza kila kitu kamanda !!!Hizo sumaku zinavutana, na kwasababu zinakua na nguvu ya uvutano iliyo sawa haziwezi kusababisha movement hadi iwepo force ya nje ambayo mwenye idea alikusudia isababishwe na gari. Hiyo gari haina mafuta inategemea sumaku ambayo ina hitaji nguvu ya nje ili isababishe movement, ina anzaje ku-move.?
Na hata akifanikiwa ku-move haileti efficiency kutokana na tabia iliyonayo sumaku.
[emoji3] [emoji3]Dogo acha bangi [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 883660