Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ama kweli mambo yanaenda yakibadilika.
mamangu alikuwa anamsemo wake akisema"wakati umekwenda wapi"......[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Imani ni kipengele muhimu sana katika maisha ya aliyeokoka kwani ni mkono wa kupokea ahadi
za Mungu. Biblia inasema, kwa Mungu yote yanawezekana na pia kwake yeye aaminiye (Mk 9: 23,
10: 27). Mungu hutaja mambo kutoka mwisho kuja mwanzo na hutaja kitu ambacho
hakijawepo kama kilishakuwepo. Ili kupata ahadi za Mungu (mf. mafanikio ya uchumi),
imani inahitajika ili kuondoa au kuhimili vikwazo vinayojitokeza wakati wa safari ya
kuelekea katika kuupokea muujiza/ahadi.
Hofu, mashaka na wasiwasi vimekuwa ni vikwazo vikubwa vya imani.
 
ASANTE [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Za kupotea prof?
 
Kumbuka kuwa wewe Mkristo
umetangaza vita na ulimwengu akiwemo shetani na malaika zake (mapepo). Ili kushinda inabidi
kutumia imani ishindayo ulimwengu kama inavyosema katika; IYn 5: 4-5, Chochote
kilichozaliwa na Mungu huushinda ulimwengu, na huku ndiko kushinda kuushindako
ulimwengu, hiyo imani yetu. Je umezaliwa na Mungu (umeokoka) ili uwe na uwezo wa
kuushinda ulimwengu? Kama umeokoka jua moja kwa moja wewe ni mshindi.
KUWA NA IMANI YENYE MATENDO.
 
KUWA NA IMANI YENYE MATENDO [emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Kizungumkuti kwa wengi kiko hapo.....[emoji115][emoji115][emoji115]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…