Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

AB4F9F48-239E-48F6-BD71-0DFAD8081373.jpeg
 
Huu sasa mtihani. Moud kaa mkao wa kula nakuja kuuliza maswali kuhusu upande huo wa pili [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Rais Magufuli awashauri wanaume kuoa wake wengi ili kupunguza ukahaba TZ

*Rais Magufuli awashauri wanaume kuoa wake wengi ili kupunguza ukahaba TZ*

_*Rais wa Tanzania John Magufuli amewashauri wanaume nchini humo kuoa wanawake wawili au zaidi kama njia ya kupunguza ukahaba miongoni mwa wanawake wa Tanzania.*_

Magufuli alisema kuwa wanawake wengi ambao hawajaolewa wanalizimika kushiriki uasherati na waume za watu kwa sababu kuna ukosefu wa wanaume wa kuwaoa.
Amesema kuwa kuna idadi kubwa ya wanawake nchini Tanzania na kulingana naye kuna wanawake milioni 40 kwa wanaume milioni 30.

“Siwalazimishi, lakini ninawashauri kuoa wake wawilia au zaidi ili kupunguza idadi ya wanawake wasio na waume,” Magufuli aliuambia mkutano wa wanaume 14,000 ambao walipokea mafunzo katika nyanja tofauti mjini Dar es Salaam.

“Wanawake wetu wanalia kila siku kutokana na ukosefu wa wanaume wa kuwaoa na kuwasaidia kiuchumi na ndio maana wanashiriki ukahaba. Kwa hivyo tafadhali fanya kazi kwa bidii ili muwasaidie wanawake wetu kwa kuoa wake wawili zaidi bora tu una uwezo wa kuwahudumia,” aliongeza.

Tanzania ina viwango vya juu vya ukahaba Afrika Mashariki miongoni kwa wasichana na wanawake wasio shuleni au wasio na ajira.
Sawa. Njoo
 
Tango husaidia kupunguza kiasi cha URIC ACID mwilini hvyo kuliacha figo katika hali yake ya kawaida.
Tango hupunguza tatizo la kisukari kwani na kurekebisha shinikizo la damu. Hii ni kwa sababu, tango lina madini ya potasium na magnesium ambayo ni hutaji kubwa la moyo ili ufanye kazi ipasavyo
Kupambana na kansa ya shingo ya kizazi, kansa ya titi, tezi dume na nyingine nyingi. tafiti zinadhihirisha kua tango linauwezo wa kufanya yote haya kutokana na uwepo wa viini lishe kama lariciresinol, pinoresinol na secoisalariciresinol.
Mada nzuri muda hautoshi, nitairudia
 
Back
Top Bottom