Wadukuzi wamemdukua??
factMapenzi ya kweli that is huge compliment uzuri wa sura hauna maana.
ivo ivo tu!Amani itawale jioni yetu
ukipata jibu kaanzishe uzi wa dis like...Kwani option ya dislike hakuna jaman ?
Waganda wamemdakaWadukuzi wamemdukua??
Halipwi hata senti ndo maana akaomba wamchangie kupitia go fund me. Haters wake wakamchongea kwa wenye mtandao akatolewa. Saiv anaoshi kwa pesa za mzungu anazotumiwa kila mweziAisee. Kwani huwa halipwi kwa shughuli zake za kuporomosha matusi?
Huwa sijudge watu lakini pengine hapo kwa level yake anayoionyeshaga hapamfai japo maisha ya Los Angeles pia ni ghali sana. Nyumba kama hiyo kama amepanga si ajabu analipa $3K kwa mwezi
2020 siyo mbali. Lazima atapiga hela.Halipwi hata senti ndo maana akaomba wamchangie kupitia go fund me. Haters wake wakamchongea kwa wenye mtandao akatolewa. Saiv anaoshi kwa pesa za mzungu anazotumiwa kila mwezi