Mine eyes
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 6,581
- 7,236
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji40]Kama maji ee mkuu[emoji3][emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji40]Kama maji ee mkuu[emoji3][emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji40]
Hayo ma egg chops nilikuwa nayapenda balaa! [emoji39][emoji39]
Asante mkuu. Nafurahi kukuona hukuNimebanwa na majukumu mkuu SHIMBA YA BUYENZE: tuko pamoja sana mbaba
Upatie Na sosi ya pilipili kwa mbali
Aah, wewe unayafahamu haya madude! Pilipili ya kusaga iliyochanganywa na machicha ya nazi! [emoji23][emoji23]
Sio kuyafahamu napika hasa.
Wapi uliko nije niyafaudu? Nipe uelekeo basi, sijayala miaka mingi sana! [emoji1][emoji1]
Usijali ntakuletea ule hapa hapa [emoji13].