05:21
Wa mwisho kulala wa kwanza kuamka.
05:21
Zaramo girl ama?
Kama uko Bongo, leo umelala masaa mangapi? Sema ukweli [emoji16][emoji16][emoji16]Wa mwisho kulala wa kwanza kuamka.
Zaramo girl ama?
Kama uko Bongo, leo umelala masaa mangapi? Sema ukweli [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ukishuka tu pale Honolulu wanakuvisha mkufu wa seashells shingoni na tumaua. Halafu wazuri wachangamfu...
Hata mimi nadhani hivyo !!!Huyo sidhani kama yuko Bongo!
We nawe!Nyakyusa girl, my guess! [emoji1][emoji1]