Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1538634577283.jpg
 
Wewe, hakuna mtu ambaye napambana naye kama lawyer wangu, lakini ni best friend wangu walahi
Kusema ukweli ni genius, lakini ana vi elements vya kimfumo dume, hapo ndio tunapopambana kweli kweli, na sio yeye tu mpaka na partner zangu same thing walahi!
Lakini tunaheshimiana kweli kweli walahi!
Wanajua nguvu ya mambo yao ya maendeleo inatoka wapi walahi!
MZINGA WA NYUKI MALKIA LAZIMA AWEPO WALAHI!

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Malikia wa Nyuki. Nimecheka hasa kuhusu huo mfumo dume
 
Back
Top Bottom