Unacheka? Mwenzio niko napambana nisiingie kwenye ignore list walahi money loves me Masaki peninsula is my home ohooo !!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila bafuni mtu unajiachia tu mapambio moja baada ya jingine. Ukitoka hapo roho safiii !!!Imben hivyo hivyo
HahahahaUnacheka? Mwenzio niko napambana nisiingie kwenye ignore list walahi money loves me Masaki peninsula is my home ohooo !!!
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]. Thank you sis. Nakwenda na kulala kabisa. Tuonane kukicha panapo majaliwa.Hahahaha
Sikuweki ndugu yangu kuwa na amani walahi
That’s all
Safiii kabisaHahahaha
Sikuweki ndugu yangu kuwa na amani walahi
That’s all
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bro banaUnacheka? Mwenzio niko napambana nisiingie kwenye ignore list walahi money loves me Masaki peninsula is my home ohooo !!!
goodnight[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]. Thank you sis. Nakwenda na kulala kabisa. Tuonane kukicha panapo majaliwa.
Wewe, hakuna mtu ambaye napambana naye kama lawyer wangu, lakini ni best friend wangu walahiMimi na wewe hatuivi chungu kimoja? Tangu lini? I call you sis; and I regard you as a possible business partner in the future. Hizi ni habari mpya kwangu. Anyway yote ni sawa tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
kalale mkuu..baraka ziwe nawe[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]. Thank you sis. Nakwenda na kulala kabisa. Tuonane kukicha panapo majaliwa.
😀😀😀Wewe, hakuna mtu ambaye napambana naye kama lawyer wangu, lakini ni best friend wangu walahi
Kusema ukweli ni genius, lakini ana vi elements vya kimfumo dume, hapo ndio tunapopambana kweli kweli, na sio yeye tu mpaka na partner zangu same thing walahi!
Lakini tunaheshimiana kweli kweli walahi!
Wanajua nguvu ya mambo yao ya maendeleo inatoka wapi walahi!
MZINGA WA NYUKI MALKIA LAZIMA AWEPO WALAHI!