Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818]
Hii ni kweli kabisa!Ukiwa na pesa ni raha sana walahi money loves you [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 886102
[emoji16][emoji16][emoji16]. Tukiendelea kujibishana hapa nitasema kitu halafu utaishia kunitia kwenye iginoa listi tu unisahau huko. Nasema sitaki money loves me walahi.Take a wild guess walahi
Hahahaha[emoji16][emoji16][emoji16]. Tukiendelea kujibishana hapa nitasema kitu halafu utaishia kunitia kwenye iginoa listi tu unisahau huko. Nasema sitaki...
Have a good day [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Mimi na wewe hatuivi chungu kimoja? Tangu lini? I call you sis; and I regard you as a possible business partner in the future. Hizi ni habari mpya kwangu. Anyway yote ni sawa tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Hahahaha
Kwa kweli mimi na wewe hatuivi kwenye chungu kimoja walahi
Mawazo yetu ni tofauti sawa na mbingu na nchi walahi!
Hakika na mimi nikisema nitapigwa ban la maisha walahi
Asante sana walahi
Wenye sauti mbaya tufanyeje?SABABU KUMI KWANINI UNATAKIWA UANZE KUPENDA KUIMBA
1.Hurudisha furaha yako na kuondoa uchovu! Pia hukufanya ujihisi unaamani sana.
2.Hupunguza Uwezekano wa kupata Shinikizo la damu.
3.Huongeza hali ya kujiamini. Utafiti unaonesha kuwa, asilimia 64 ya watu wanaopenda kuimba hujiamini pia katika mazingira ya kawaida.
4.Hukusaidia kupunguza uzito hasa ukiimba na kuchezaView attachment 886127
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi na wewe hatuivi chungu kimoja? Tangu lini? I call you sis; and I regard you as a possible business partner in the future. Hizi ni habari mpya kwangu. Anyway yote ni sawa tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Imben hivyo hivyoWenye sauti mbaya tufanyeje?