Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

386ce984-dca2-4a6d-bc48-4341e103e5bb.jpeg
 
Kutokea Orlando ni karibia 9 hrs+. Ni kama vile unakwenda Europe. Ila kusema kweli ni pazuri. Ndo maana wanapaitaga paradise akina Oprah wamejificha huko. Ni kijani kila mahali palm trees na vijito vya maji baridi kila mahali...Samaki kwa wingi utafikiri upo Nansio...

3 weeks. Ilikuwa semina. Everything paid off. Saa tisa wanatuachia mpaka tena kesho yake saa 4 asubuhi. Wonderful time wallahi money loves me dah [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom