Hahahaha, mpare wako ni tatizo[emoji3] [emoji3] [emoji3]Dadangu masikini. Ni afadhali tu angeolewagwa na Mchina au hata Big Baba. Huyu Mpare huyu mhhh [emoji16][emoji16][emoji16]
Yummy kwa juisi na mbolea ya nyweleMaparachichi yenye upara [emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 886473
Yap! Halafu limtu linatoka huko limekogeshwa mapovu jukwaa la siasa linakuja hapa na kuanza kutukana eti huu uzi wa kijinga !!!Aseee, Elimu murua
Dogo chabo umeianza mapema mno [emoji16][emoji16][emoji16]
Hapa unaambiwa purukushani tu huko angani 5 seconds wakati ndege inaporomoka yale mabadiliko ya ghafla ya presha na G force wote mnapoteza fahamu. Kuja kufika huku chini wala hamjitambui...Ni kweli, kuliko kuugua mpaka watu wanakuchoka
Utafikiri ndege zimetengenezwa kwa karatasi. Hatari sana !!!
Parachichi zuri hivyo uweke kichwani.Maparachichi mabaya ndio mazuri kwa nywele [emoji2][emoji2][emoji2]Yummy kwa juisi na mbolea ya nywele
Ni mshike mshike aisee.Hapa unaambiwa purukushani tu huko angani 5 seconds wakati ndege inaporomoka yale mabadiliko ya ghafla ya presha na G force wote mnapoteza fahamu. Kuja kufika huku chini wala hamjitambui...
Salama?njema rafiki zangu...wazuri..
.... li.. .mtu ...Yap! Halafu limtu linatoka huko limekogeshwa mapovu jukwaa la siasa linakuja hapa na kuanza kutukana eti huu uzi wa kijinga !!!
salama mkuu....Salama?