Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1538636123192.jpg
 
Pamoja na majanga ya kiafya yanayosababishwa na magonjwa ya kuambukiza kama Ukimwi, vitendo hivyo vya utakaso, ndivyo vinavyotarajiwa kufanywa na wakazi wengi ambao mwezi uliopita walipoteza wenzi wao katika ajali ya kivuko cha MV Nyerere, Mwananchi inaweza kukuthibitishia.

Wafiwa hutengwa kwa kutoruhusiwa kuchangama na wengine katika shughuli za kijamii hadi itakapofahamika kuwa wametakaswa.
Waacheni watakasane jamani [emoji85][emoji85][emoji85]
 
Back
Top Bottom