Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kwa Wakristo na Waislam, Mungu ni mmoja akiwa na mitume na manabii wanaotumika kufikisha ujumbe kwa waumini.
Hii ni tofauti na waumini wa dini na madhehebu ya asili ambao wana mawasiliano moja kwa moja na miungu tofauti wanayoiabudu kulingana na maeneo, kabila na matukio yaliyowakuta.
Wakati kukiwa na hofu kwa wakazi wa Ukara wilayani Ukerewe kuingia katika mila ya kufanya mapenzi kwa lengo la kujitakasa baada ya kufiwa na wenzi wao, kisiwa hicho pia kinaendeleza mila ya kuamini miungu ya jadi na baadhi ya wakazi wake wana dini, madhehebu na ibada za asili.