Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Lichumu na Emisilo
Kwa mujibu wa wakazi wa Ukara, mila zinazotumika kuwatenga wafiwa hao zinajulikana kama Lichumu na Emisilo. Lichumu ni mila ya kuwatenga wanaofiwa katika matukio ya ajali, wakati Emisilo huwatenga wafiwa wa vifo vya kawaida.
“Mila hizi bado zina nguvu katika familia ambazo bado zinaishi kwa kuamini, kulinda na kufuata utamaduni wao,” alisema Zakaria Chibuga ambaye ni mmoja wa wazee maarufu wa jamii ya Wakara na mkazi wa kisiwa hicho.