ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Camera hatari
Camera hatari
ukacheka nini...lione vile![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
nasubiri hiyo tag...Kulalamika lalamika,subiri nkutag kitu kizuri mwenzetu alinandika ap nlifkir umeiona.
we hulalamiki kwa sababu....... ...Kulalamika lalamika,subiri nkutag kitu kizuri mwenzetu alinandika ap nlifkir umeiona.
maziwa ya moto au maziwa moto?Maziwa ya moto usiku huu....
maziwa ya moto au maziwa moto?
ya moto..=ya myoyabendi!
ya moto!..hayachemshwi!!
😀😀😀😀😀😀😀ya moto!
huyo moto ni mtu ...kama wewe myoyabendi...?
ya ng'ombe...sawa..ni ya ....
maziwa moto.... hata yasipochemshwa lile joto ndo inaitwa... .maziwa moto!
Au unamaanisha maziwa yepi... mkuu..