Nafurahi kusikia unaendelea vizuri shem.Kwa upande wangu ninaendelea vyema kabisa shemeji. Natumaini na wengine ni vivyo hivyo [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji818][emoji818][emoji818]This is the most soothing, peaceful and calming greeting ever !!!
Procrastination.....terrible !!!
2014. Wakati wa Mr. Dhaifu [emoji16][emoji16][emoji16]Katoon siasaView attachment 887329
Yaani nikiionaga hii salamu kwishnei. Najua tu kuwa this gonna be a good day. Kama ni mpendwa wa Mungu nini tena kitakachokinzana nami?Nafurahi kusikia unaendelea vizuri shem.
Salamu inakubarikieee
Umekosea mapambano yanaendelea2014. Wakati wa Mr. Dhaifu [emoji16][emoji16][emoji16]
Hakuna kwa kweli. God is Good all the Time.Yaani nikiionaga hii salamu kwishnei. Najua tu kuwa this gonna be a good day. Kama ni mpendwa wa Mungu nini tena kitakachokinzana nami?
Sawa kamanda. Pambaneni !!!Umekosea mapambano yanaendelea
Binafsi naendelea vemaWapendwa wa Mungu mnaendeleaje ?
Binafsi naendelea vema
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shem wasalimie Pluto [emoji23][emoji23][emoji23]
Exactly[emoji818][emoji818][emoji818]
View attachment 887369