Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

DSC_0128.JPG
 
Rafiki wa Rafiki yako ni Rafiki yenu. Adui wa Rafiki yako ni adui wake. Ikiwa wewe si sehemu ya uadui wao, basi huna sababu ya kuudandia uadui wake. Kumbuka uadui si hali ya kudumu. Ikitokea wamepatana, utakuwa mgeni wa nani?' Usia nilipewa na Baba
 
Back
Top Bottom