Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ushoga. Ajenda ya Kimagharibi inayojaribu kurasmishwa kwa nguvu nyingi kupitia vyombo vya habari na hata mikwara ya vikwazo vya kiuchumi. Hovyo kabisa !!!
Ushoga. Ajenda ya Kimagharibi inayojaribu kurasmishwa kwa nguvu nyingi kupitia vyombo vya habari na hata mikwara ya vikwazo vya kiuchumi. Hovyo kabisa !!!
Nimeingia, wavulana wamefunguka, ndiyo maana mivutano haiishi jf.Huo uzi ni chimbo safi kabisa la kuchimbua maandaeitini kwa sababu watu wamefunguka balaa. Tunahangaishwa na matineja kibao humu aisee.
Hako ka avatar katamu shem[emoji39][emoji39][emoji39][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umekuja sasa
Vyema sana.
Mkuu farkhina habari yako
hovyo kabisa...Ushoga. Ajenda ya Kimagharibi inayojaribu kurasmishwa kwa nguvu nyingi kupitia vyombo vya habari na hata mikwara ya vikwazo vya kiuchumi. Hovyo kabisa !!!
Umeona eeeh!Nimeingia, wavulana wamefunguka, ndiyo maana mivutano haiishi jf.
Sisi washamba wa Kisukuma tutasema hii ni mitishamba unataka kuturoga. Hutupati ng'o [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23] View attachment 887524