Sisi washamba wa Kisukuma tutasema hii ni mitishamba unataka kuturoga. Hutupati ng'o [emoji16][emoji16][emoji16]
🤣🤣🤣🤣🤣 hii chai ni mdalasini,zatari Na tangawizi 100% natural no caffeine added apo siwarogi bhana nyie ndugu zangu [emoji853].
Sisi washamba wa Kisukuma tutasema hii ni mitishamba unataka kuturoga. Hutupati ng'o [emoji16][emoji16][emoji16]
Nashukuru mi mzimaNzuri za kwako
Watoto wamejaaUmeona eeeh!
Humu unaweza kujikuta unatukanana na hata kutongoza mtoto wako kabisaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umejuaje maa?
Huyo ni carba kabisaaa
those ole good days in bro voice[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekumbuka tu zile happy days humu