Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

...
IMG-20181005-WA0003.jpg
 
Tulikua watoto enzi hizo tumekua sasa hadi andaeitini maarufu kamaliza elowai na mtoto juu mambo ni motooo

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]elowai sugu.
Ndo maisha lakini,acha yaendelee
Natamani siku moja mkutane nae nami niwepo pasipo kujua kuwa ndiye uniq, hiyo shikamoo ya unyenyekevu mtakayo itoa mtanifanya niwafukuze kwa bakora za matakoni hadi kwa vivulana vyenu.
Hatupumui!!! Shwaini zenu....
 
Back
Top Bottom