Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

446634578_351790.jpeg
 
TAKUKURU Dodoma imemkamata Mhadhiri wa UDOM Jacob Paul Nyangusi kwa kosa la kutaka rushwa ya ngono kwa Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza ili amsaidie ktk mitihani ya marudio aliyoifanya, Nyangusi alikamatwa saa 3 usiku mjini humo akiwa chumbani na Mwanafunzi huyo.#MillardAyoUPDATES

Rushwa ya ngono ni tatizo acha ashughulikiwe
 
Back
Top Bottom