Mkuu habari yakoBig match poti nakuua mbili kavu
Nammanya huyu jamaa aisee aibu sanaTAKUKURU Dodoma imemkamata Mhadhiri wa UDOM Jacob Paul Nyangusi kwa kosa la kutaka rushwa ya ngono kwa Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza ili amsaidie ktk mitihani ya marudio aliyoifanya, Nyangusi alikamatwa saa 3 usiku mjini humo akiwa chumbani na Mwanafunzi huyo.#MillardAyoUPDATES
WhatMBEA HAJISEMI
Shwari mzee, nadhani mtakuwa mmeshamaliza matanga huko ukara. Poleni, karibu tena kijiweniMambo vipi humu ndani
Mkuu habari yako za masiku tele[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapo kwenye shwaini sasaNatamani siku moja mkutane nae nami niwepo pasipo kujua kuwa ndiye uniq, hiyo shikamoo ya unyenyekevu mtakayo itoa mtanifanya niwafukuze kwa bakora za matakoni hadi kwa vivulana vyenu.
Hatupumui!!! Shwaini zenu....
MambozKila la kheir uje unipe feedback
Hujambo my princess[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]elowai sugu.
Ndo maisha lakini,acha yaendelee
HiTulikua watoto enzi hizo tumekua sasa hadi andaeitini maarufu kamaliza elowai na mtoto juu mambo ni motooo