Tulikua watoto enzi hizo tumekua sasa hadi andaeitini maarufu kamaliza elowai na mtoto juu mambo ni motooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mambo yanabadilika kwa kasi sana humu ndani teh!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]elowai sugu.Tulikua watoto enzi hizo tumekua sasa hadi andaeitini maarufu kamaliza elowai na mtoto juu mambo ni motooo
Ngoja nikajaribu kutafuta kariakoo kwenye maduka ya vyakula kama nitapata nione radha yake kwenye chai.
Sante
Tulikua watoto enzi hizo tumekua sasa hadi andaeitini maarufu kamaliza elowai na mtoto juu mambo ni motooo
Natamani siku moja mkutane nae nami niwepo pasipo kujua kuwa ndiye uniq, hiyo shikamoo ya unyenyekevu mtakayo itoa mtanifanya niwafukuze kwa bakora za matakoni hadi kwa vivulana vyenu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]elowai sugu.
Ndo maisha lakini,acha yaendelee
[emoji736][emoji736]
Hahahahaha [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 887588
Hovyo kabisaTAKUKURU Dodoma imemkamata Mhadhiri wa UDOM Jacob Paul Nyangusi kwa kosa la kutaka rushwa ya ngono kwa Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza ili amsaidie ktk mitihani ya marudio aliyoifanya, Nyangusi alikamatwa saa 3 usiku mjini humo akiwa chumbani na Mwanafunzi huyo.#MillardAyoUPDATES
Wahadhiri walikuwa na huu mtindo sana...Kumbe bado hawajaacha !!!Hovyo kabisa
Wachache sana wanaojiheshimu...Ipo sana sema inakwenda kimya kimya.Wahadhiri walikuwa na huu mtindo sana...Kumbe bado hawajaacha !!!
Rip Nyaga MAWALA View attachment 887638