cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Babu seya
Akinipa hela tutagawanaHuyo gumzo jingine kaa mbali kabisa huko.
Msamehe huyo ndugu yanguKwa hiyo nimsamehe?
Kweli anaumia I can feel his painKwa hiyo nimsamehe?
Nimeingia Mwamba.
Ninaanza Kutamba.
Masikio naziba Pamba.
Nagawa Likes Kama Mwisho Mwampamba
Kuna Mtu wa Mungu humu?
Nahitaji maombi ya kukemea hili pepo la Homa
Utakuta hatujafungua tunaanza kazi sa sitaAsubuh na mapema ntakuwepo hapa
Hapo cole na andjul aooooo [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Unanipenda?
Kazi ipoooooo !!!
Penzi la kweli halifi nimeamini tunapendana tunaendelea na mipango yetu ya kuvishana peteKweli anaumia I can feel his pain
Hamna vya bure usije ukaenda jumlaAkinipa hela tutagawana