cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Ila nawe ukimpenda
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni utani tu mkuu. Hata sijui ni kwa nini. Si unajua tena mambo ya uzi huu...kwa nini mkuu Shimba ya buyenze?
Mkuu sana SHIMBA YA BUYENZE, kuna chombo kinaitwa SAMMYLUV, roho yangu inateketea ndani yangu, unasemaje mkuu?Anaweza kubadilika lakini
Mtego wa panya hauwezi kumnasa fisi !
Mungu Akipenda mkuu...Asubuh na mapema ntakuwepo hapa
Mbona hufiki?Nakuja pm kichwa asione