myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Sawasawa..Vitamin C ni muhimu katika mwili kwasababu inasaidia ukuaji na utengenezaji wa tishu za mwili. Mfano ni meno na fizi. Vitamic C inasaidia pia uchocheaji wa uponaji wa vidonda kwa haraka. Vitamin C inapatikana kwenye matunda mengi machachu, mfano machungwa, limao n.k
Kikosi cha billioni moja camp uturuki madudu tupu mpka sasa
Hakika mkuuBaraka zipatikanazo kwa wingi kwa baadhi ya mazingira ya nchi.
Ugali maharagwe dagaa kisamvu maziwa mtindi baridi kabisaMchana wa kula
Ndio ukweli mkuu simba haijaperform kabisa msimu huuDuh!!
Kesho mamii na Man City big match kwa kweli
AsanteOooh kumbe kesho nakutakia kila la kheri
Sijambo, habari yakoConsuela jambo