mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Kama yupo aniPM tutape hata moja mbili
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji134]♂️View attachment 887989
Du hatari hii wadada wote waliopo duniani mpka sabuniJamani mi nimeishiwa sabuni usinifanye nikapiga kimoja kavu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]You are responsible for your actions, sir. Au ni nyinyi mnaovuta sigara mnapata kansa ya mapafu mnakimbilia kushtaki makampuni ya sigara? [emoji16][emoji16][emoji16]
Kweli kabisa hapa naumia kweli kuna mtu kaniacha dah nikikumbuka mambo yake[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Sio afrikaWenzetu huko hawachezi. Halafu tunashangaa kwa nini wameendelea [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 888025
Shimba muhaya tenaBro Shimba ...
Kuna sehemu nilikwenda ..nikakuta jamaa wa ki haya .... wanaongea kuhusu shemeji yao ambaye si muhaya.
walikuwa wakimtaja kwa jina la "nyamaanga..." badala ya Frank
hivi walimaanisha nini??
Ikikupendeza naomba unitafsirie hilo neno mkuu....
Ndio hivyo mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3]
YapWeekend ingine
Yupo kwaniUmeua..wapi profesa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Swadaktaa,
Kuna jamaa wapo Kinondoni Dar, walikua hawaishi kutaja neno dhaifu, dhaifu kwa miaka takribani 10. hivi sasa wanatamani huyo dhaifu arudi angalau aongoze mwezi mmoja...[emoji3]
TeheteheteheMkwere
Dhaifu
Vasco Da Gama
Mpole
Mtu wa kuchekacheka
Nchi imemshinda
Tunataka ajaye awe mkali
Nchi haitawaliki mpaka aje dikteta
Fisadi...
...Hujafa hujaumbika...Be careful what you wish for [emoji16][emoji16][emoji16]