Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Halafu unajua siri yao ni nini? Kugombea tu uongozi kwanza inabidi uwe tajiri au uwe na vyanzo vya mapato vya kueleweka. Uongozi kamwe haupaswi kuwa source ya mapato yako. Ndo maana kakosa kadogo tu unaona mtu keshajiuzulu. Siyo kama sisi huku uongozi ndiyo sehemu ya kutajirikia. Au tunaota ndoto za kutokomeza rushwa. Thubutuuu !!!
Well said bro
 
KATIKA ASILIMIA 100 YA WATU UNAO WAFAHAMU KUNA WANAOKUPENDA NA WASIOKUPENDA.
......
1. Asilimia 33 ya kwanza ni watu watakaokupenda wewe bila sababu yoyote.
Watu hawa watakupenda tu bila ya kujali ukoje na una nini hata kama ukipata tatizo daima watakuwa upande wako.

2. Asilimia 33 ya pili ni watu wanaokupenda wewe kwa sababu fulani mfano mali, kazi , cheo , tabia , uzuri wako n.k Tabia ya watu hawa ni kwamba upendo wao kwako unavutwa na sifa au kitu au vitu ulivyonavyo. Pia ni watu ambao kama ukiweza kuwashawishi wanaweza kukupenda sana. Lakini endapo sifa au kitu kile walichokupendea kisipokuwepo hawawezi kuwa na wewe tena mfano pesa na mali.

3. Asilimia 33 ya mwisho ni watu wasiokupenda au wanaokuchukia wewe bila ya kuwa na sababu yoyote. Watu hawa hata ufanye nini kwao huwezi kuwafurahisha zaidi ni kwamba watakuonea wivu tu na kusema kwamba unaringia mali au sifa yako. Hawa watu usiangaike nao kabisa. Zaidi ni kuwaombea tu maana hawajui walitendalo.
.....
4. Asilimia 1 iliyobaki ni wale watu ambao hawajui au hawana uhakika kama wanakupenda au wanakuchukia. Watu hawa mara nyingi ni wale wasio na msimamo kwako. Leo anaweza kuwa rafiki mzuri sana kwako lakini kesho akawa adui pia. Usiwaamini sana pia.
....
CHA KUFANYA AU CHA KUJUA HAPA NI KWAMBA SIO WATU WOTE WATAKUPENDA HATA KAMA UTAFANYA MAZURI KIASI GANI. CHA MSINGI WEWE ISHI MAISHA YAKO BILA KUMWANGALIA MTU YOYOTE KAMA ANAKUPENDA AU LAH .ILA CHA MSINGI TUNATAKIWA KUWAPENDA WOTE KWA MAANA MUNGU AMETUAGIZA TUWAPENDE WOTE HATA MAADUI ZETU TENA TUWAOMBEEE.
Kweli kabisa
 
..
20181006_122640.jpg
 
Kuna watu ambao Mungu hataki wakuzunguke, lakini wewe unang'ang'ana kukaa nao.
*************************
Kuna watu kwenye maisha yako ni MIIBA. Hakuna kitu unaivisha ukikaa nao , tangu asubuhi mpaka jioni hakuna kitu mnachoivisha mkikaa pamoja.

Kama marafiki zako hawakusaidii maisha yako yawe na faida KAA NAO MBALI.
Barikiwa kwa ujumbe huu
 
Back
Top Bottom