Miss you[emoji7][emoji7]Kuna watu ambao Mungu hataki wakuzunguke, lakini wewe unang'ang'ana kukaa nao.
*************************
Kuna watu kwenye maisha yako ni MIIBA. Hakuna kitu unaivisha ukikaa nao , tangu asubuhi mpaka jioni hakuna kitu mnachoivisha mkikaa pamoja.
Kama marafiki zako hawakusaidii maisha yako yawe na faida KAA NAO MBALI.
Miss u more dearest [emoji8][emoji8]Miss you[emoji7][emoji7]
Njema kabisa, kwema huko??Habari za asubuhi Wapendwa wa Mungu.
Asubuhi yangu ni njema sana, natumai kwa wengine pia. Mungu ni mwema.Habari za asubuhi Wapendwa wa Mungu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hahahaha aloo nimeangushia bange yangu kwenye glass ya konyagi.[emoji134]♂️View attachment 887989
ShwariSalama za ww moud
Tuwe na siku njema, Mungu na abariki kazi ya mikono yetu.
Njema hali yakoHabari za asubuhi Wapendwa wa Mungu.