Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pamoja na nia njema walizonazo watu wengi za kufanya kazi kwa bidii na juhudi kadri wawezavyo pamoja na kujishughulisha mara kwa mara ili wao na familia zao waweze kujitegemea na kuishi maisha mazuri. Hata hivyo yatupasa kutambua kwamba chochote kile tunachokifanya iwe kwa kujua au kutokujua ni lazima kitawaathiri na wengine, yaani kitakuja kuleta athari kwa wengine hasa wale tuwapendao na tupaswao kuwajali, hata kama kitaonekana kuwa ni kitu chema. Kwa mfano, ni matumaini yangu umekwishawahi kusikia uwepo wa migogoro na majibizano mengi katika familia nyingi kuhusiana na akina baba ambao muda mwingi wanakuwa wapo kazini, na wamekuwa wakidai kwamba wanafanya hivyo kwa manufaa ya familia zao, ambapo mwishowe, ni familia kuathirika kwa baba kutokuwepo nyumbani kwa muda mrefu.
 
Sote tunatambua kwamba suala la kufanya kazi kwa juhudi ni jambo la muhimu sana tena sana, ila tunatakiwa tuwe na mapumziko kila baada ya kazi ili tuweze kudumisha mahusiano yetu na wale wanaotuzunguka pamoja na kuimarisha afya zetu za kimwili, kihisia, na kiakili. Yatupasa kutambua kwamba miili yetu inao ukomo, na hivyo kuwa na mapumziko katika maisha yetu ni jambo la muhimu sana tena sana.
 
Kukosa mapumziko ya kutosha kama vile usingizi, mara nyingi husababisha udhaifu wa kimwili na kihisia, kwani kila sehemu ya mwili wetu huwa inafanya kazi katika mzunguko ulio sawa wa kazi na mapumziko ili kuweza kustawi. Kwa hiyo tunahitaji kushirikiana na miili yetu ili tuweze kufikia uwiano huo unaofaa. Kama vile tunavyohitaji chakula na maji, ndio hivyo hivyo pia tunahitaji pumziko. ila shughuli za kimaisha kama vile kujitafutia mali, fedha, na safari za mara kwa mara ndizo zimekuwa kikwazo kikubwa kwetu vya kupata pumziko la kutosha.
 
Tunahitaji kuwa na mapumziko ili tuweze kurudisha kile kilichotumika na kuweza kutunza, kuboresha, na kudumisha afya zetu. Inatupasa kutambua kwamba pumziko sio uvivu bali ni kijalizo cha lazima cha kazi. Mapumziko hutusaidia kutuondolea uchovu, kutotulia, msongo, mfadhaiko, kuchoka sana, kuvunjwa moyo ,upweke na mambo mengine mengi. Usingizi wa kutosha husaidia kutupatia pumziko la kimwili, na kuchukua likizo hutusaidia kupata pumziko la kihisia.
 
Mwili wa binadamu unahitaji pumziko kila siku. Na tafiti zinaonyesha kwamba ukosefu wa usingizi wa kutosha mara nyingi huleta athari za kiafya kama vile kisukari, unene, matokeo hafifu, ajari za barabarani, na hata kuchanganyikiwa kiakili. Kufanya kazi kupita kiasi kunahatarisha sana usalama wa afya zetu. Tunakutakia utekelezaji mwema katika kuanza kuwa na mapumziko ili uweze kuboresha na kudumisha afya yako ya kimwili, kiakili na kihisia.
 
Likianzishwa jukwaa hilo, ukomo wa kuishi kwa furaha utakuwa umenifika.
Bila kuwachungulia mabinti matinginyiko yao kwa masaa matatu nakosa raha kabisa. Ahueni yangu ni kwenye minada, napenda sana kupishana na mabinti walio jaaliwa kwenye msongamano wa watu.
Yaani tusuguane tu (kwa mbele kwangu na kwake au kwa mbele kwangu na nyuma kwake) basi, moyo wangu kwaaatuuu...

Niseme tu hiyo Forum ikianzishwa sijiungi, nabaki huku huku
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
..
20181006_074432.jpg
 
Mimi siyo Mhaya mkuu. Wahaya bila shaka watakutafsria (kwa usahihi zaidi). Kaisiki msaada wako unahitajika huku please...

Kwa kukisia tu; na kwa vile Kihaya ni lugha ya Kibantu, mzizi wa hilo neno ni mahanga yaani mataifa, mtu wa nje, wa kabila jingine...

Mnyamahanga nadhani hao watani wangu Wahaya walikuwa wanamsema Frank kuwa siyo mwenzao, ni mtu wa nje, wa kabila jingine. Neno hilo bila shaka lina connotations mbaya kuwa huyo Mnyamahanga pengine ni mtu duni, asiye msomi kama sisi n.k. Watani zangu hao wana kaubaguzi baguzi hivi na kujiona sana kuwa wao wamesoma sana (jambo ambalo ni kweli) na hivyo ni bora kuliko wanyamahanga....

Nadhani neno hili Mnyamahanga lina connotations mbaya sawa na chasaka kwa Wachaga.

Kama nimekosea samahani...This is just my wild guess...
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
*Wanaume ni wapishi[emoji1465]‍[emoji505] wazuri tu katika jamii..... Hivi fikiria [emoji848]*

*Mayai mawili 🥚🥚....Ndizi moja [emoji529] ...na Maziwa kwa mbalii🥛......Inawafanya wanawake wahangaike miezi tisa🤰🏽......Anaye bishana na upishi huu anione [emoji395] [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]*
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Halafu unajua siri yao ni nini? Kugombea tu uongozi kwanza inabidi uwe tajiri au uwe na vyanzo vya mapato vya kueleweka. Uongozi kamwe haupaswi kuwa source ya mapato yako. Ndo maana kakosa kadogo tu unaona mtu keshajiuzulu. Siyo kama sisi huku uongozi ndiyo sehemu ya kutajirikia. Au tunaota ndoto za kutokomeza rushwa. Thubutuuu !!!
Hapa uongozi ni kufa na kupona, watu wanauza lasrimali zao ili kuupata uongozi,
 
KATIKA ASILIMIA 100 YA WATU UNAO WAFAHAMU KUNA WANAOKUPENDA NA WASIOKUPENDA.
......
1. Asilimia 33 ya kwanza ni watu watakaokupenda wewe bila sababu yoyote.
Watu hawa watakupenda tu bila ya kujali ukoje na una nini hata kama ukipata tatizo daima watakuwa upande wako.

2. Asilimia 33 ya pili ni watu wanaokupenda wewe kwa sababu fulani mfano mali, kazi , cheo , tabia , uzuri wako n.k Tabia ya watu hawa ni kwamba upendo wao kwako unavutwa na sifa au kitu au vitu ulivyonavyo. Pia ni watu ambao kama ukiweza kuwashawishi wanaweza kukupenda sana. Lakini endapo sifa au kitu kile walichokupendea kisipokuwepo hawawezi kuwa na wewe tena mfano pesa na mali.

3. Asilimia 33 ya mwisho ni watu wasiokupenda au wanaokuchukia wewe bila ya kuwa na sababu yoyote. Watu hawa hata ufanye nini kwao huwezi kuwafurahisha zaidi ni kwamba watakuonea wivu tu na kusema kwamba unaringia mali au sifa yako. Hawa watu usiangaike nao kabisa. Zaidi ni kuwaombea tu maana hawajui walitendalo.
.....
4. Asilimia 1 iliyobaki ni wale watu ambao hawajui au hawana uhakika kama wanakupenda au wanakuchukia. Watu hawa mara nyingi ni wale wasio na msimamo kwako. Leo anaweza kuwa rafiki mzuri sana kwako lakini kesho akawa adui pia. Usiwaamini sana pia.
....
CHA KUFANYA AU CHA KUJUA HAPA NI KWAMBA SIO WATU WOTE WATAKUPENDA HATA KAMA UTAFANYA MAZURI KIASI GANI. CHA MSINGI WEWE ISHI MAISHA YAKO BILA KUMWANGALIA MTU YOYOTE KAMA ANAKUPENDA AU LAH .ILA CHA MSINGI TUNATAKIWA KUWAPENDA WOTE KWA MAANA MUNGU AMETUAGIZA TUWAPENDE WOTE HATA MAADUI ZETU TENA TUWAOMBEEE.
Asante Profesa
 
Kuna watu ambao Mungu hataki wakuzunguke, lakini wewe unang'ang'ana kukaa nao.
*************************
Kuna watu kwenye maisha yako ni MIIBA. Hakuna kitu unaivisha ukikaa nao , tangu asubuhi mpaka jioni hakuna kitu mnachoivisha mkikaa pamoja.

Kama marafiki zako hawakusaidii maisha yako yawe na faida KAA NAO MBALI.
 
Back
Top Bottom