Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Likianzishwa jukwaa hilo, ukomo wa kuishi kwa furaha utakuwa umenifika.
Bila kuwachungulia mabinti matinginyiko yao kwa masaa matatu nakosa raha kabisa. Ahueni yangu ni kwenye minada, napenda sana kupishana na mabinti walio jaaliwa kwenye msongamano wa watu.
Yaani tusuguane tu (kwa mbele kwangu na kwake au kwa mbele kwangu na nyuma kwake) basi, moyo wangu kwaaatuuu...

Niseme tu hiyo Forum ikianzishwa sijiungi, nabaki huku huku

[emoji3] [emoji3] [emoji3] ujumbe umewafikia
 
MWANAUME ANAHITAJI:

1. Kupikiwa
2. Unyumba
3. Kupumzika

MWANAMKE ANAHITAJI MWANAUME WAKE UWE:-

1. Mpenzi
2. Rafiki
3. Mshikaji
4. Kaka
5. Baba
6. Mwalimu
7. Bosi
8. Mpiganaji
9. Askari
10. Mlinzi
11. Mpishi
12. Fundi umeme
13. Fundi bomba
14. Mchungaji
15. Mzee wa kanisa
16. Shehe
17. Daktari
18. Mpambaji
19. Mwana mitindo
20. Modo
21. Mnyanyua vyuma
22. Fundi magari
23. Mwanasheria
24. Mhasibu
25. Fundi seremala
26. Mcheshi
27. Mwanamuziki
28. Muigizaji
29. Shamba boi
30. Fundi ujenzi
31. Msafi
32. Unajali
33. Mzazi
34. Mlezi
35. Mvumilivu
36. Mjanja
37. Mpole
38. Mkarimu
39. Msikivu
40. Mtunza siri
41. Mkweli
42. Kiongozi
43. Tajiri
44. Mpangaji
45. Mwana Michezo
46. Mtundu
47. Tegemeo
48. Jasiri
49. Mthubutu
50. Shupavu
51. Mwerevu
52. Muungwana

HAPO HAPO UNATAKIWA:-

53. Uwe Fundi kitandani.
54. Uwe unamtoa outing.
55. Uwe unampa pesa za kutosha.
56. Usimsumbue sumbue.
57. Usiangalie wanawake wengine.

HALAFU KUNA:-

58. Kumnunulia vizawadi zawadi hapa na pale.
59. Kumsifia alivyoumbika.
60. Kumsifia alivyopendeza.
61. Kumfungulia mlango, kumshikia pochi.

PIA USISAHAU:-

62. Siku yake ya kuzaliwa.
63. Kumbukumbu ya ndoa.
64. Siku ya valentine.

MUHIMU SANA, KUWA MAKINI:-

65. Jifunze kutoulizia chenji ukimpa pesa ya shopping.
66. Usipende kubishana nae kila kitu.
Hii ni baadhi tu

WANAWAKE MNA NINII LAKINI[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Umeua..wapi profesa
 
Bro Shimba ...

Kuna sehemu nilikwenda ..nikakuta jamaa wa ki haya .... wanaongea kuhusu shemeji yao ambaye si muhaya.
walikuwa wakimtaja kwa jina la "nyamaanga..." badala ya Frank
hivi walimaanisha nini??
Ikikupendeza naomba unitafsirie hilo neno mkuu....

Mimi siyo Mhaya mkuu. Wahaya bila shaka watakutafsria (kwa usahihi zaidi). Kaisiki msaada wako unahitajika huku please...

Kwa kukisia tu; na kwa vile Kihaya ni lugha ya Kibantu, mzizi wa hilo neno ni mahanga yaani mataifa, mtu wa nje, wa kabila jingine...

Mnyamahanga nadhani hao watani wangu Wahaya walikuwa wanamsema Frank kuwa siyo mwenzao, ni mtu wa nje, wa kabila jingine. Neno hilo bila shaka lina connotations mbaya kuwa huyo Mnyamahanga pengine ni mtu duni, asiye msomi kama sisi n.k. Watani zangu hao wana kaubaguzi baguzi hivi na kujiona sana kuwa wao wamesoma sana (jambo ambalo ni kweli) na hivyo ni bora kuliko wanyamahanga....

Nadhani neno hili Mnyamahanga lina connotations mbaya sawa na chasaka kwa Wachaga.

Kama nimekosea samahani...This is just my wild guess...
 
Swadaktaa,
Kuna jamaa wapo Kinondoni Dar, walikua hawaishi kutaja neno dhaifu, dhaifu kwa miaka takribani 10. hivi sasa wanatamani huyo dhaifu arudi angalau aongoze mwezi mmoja...[emoji3]
Mkwere

Dhaifu

Vasco Da Gama

Mpole

Mtu wa kuchekacheka

Nchi imemshinda

Tunataka ajaye awe mkali

Nchi haitawaliki mpaka aje dikteta

Fisadi...

...Hujafa hujaumbika...Be careful what you wish for [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom