cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Ndiyo kawaida yetu hapa...Jaza ujazwe
Unauliza majibu?
Subiri ujazweNipo najaza tu
NipeeeeMwendo wa kujaza like
Mambo salama. Sikuwepo siku nzima ndiyo naangalia angalia kinachoendelea hapa.Asante mkuu, mambo!
Mkuu nami nilikuwa busy sana ndo nko home sasa
Mambo salama. Sikuwepo siku nzima ndiyo naangalia angalia kinachoendelea hapa.