Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

A5117CA5-F053-4F0E-8AEA-C055C1BCE308.jpeg
 
Nawatakia Jumapili ya Baraka Wapendwa wa Mungu.
ASANTE sana mpendwa wa Mungu. ASANTE sana kwa salamu hii yenye nguvu; salamu imeremetayo kama moto mkali wenye fukuto la mfua chuma; na kumweka mithili ya radi ya furaha na matumaini katika mioyo ya waisikiayo. Sote na tukabarikiwe leo [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Back
Top Bottom