Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nakafananisha haka na wewe wakati ulipokuwa mtoto. Umekaa kisharishari tu japo siku hizi kusema kweli unajitahidi sana. You choose your battles very carefully. Umekua tena in fronto ofu awa aizi. Kongaratyuleisheni [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]bro bana huwa unanifurahisha
 
Juan Mata, Anthony Martial na Alexis Sanchez wamempunguzia presha kocha Jose Mourinho baada ya kuiongoza Manchester United kuichapa Newcastle United kwa mabao 3-2 kwenye Uwanja wa Old Trafford.

Manchester United ilazimika kutoka nyuma kwa mabao 2-0 kabla ya kupata ushindi huo muhimu kwa kocha Mourinho aliyekalia kuti kavu kutokana na matokeo mabaya ya hivi karibuni.
 
Newcastle United ilikuwa ya kwanza kupata bao la kuongoza dakika 10, lililofungwa na Kenedy kuingia kwa bao hilo kulimlazimisha kocha Mourinho kumtoa Eric Bailly na nafasi yake kuchukuliwa na Juan Mata.

Newcastle ilipata bao la pili dakika 45, lililofungwa na

Yoshinori Muto na kuwafanya wageni hao kwenda mapumziko wakiwa mbele kwa mabao 2-0 jambo lililofanya Uwanja wa Old Trafford kuwa kimya kabisa.
 
Kipindi cha pili Man United irudi kwa kasi na kuanza kulisakama lango la Newcastle na mashambulizi hayo yalijibu.

Mata alirudisha Man United mchezoni kwa kufunga bao dakika 70, kabla ya Anthony Martial kusawazisha katika dakika 76 kufanya matokeo kuwa 2 – 2.

Man United iliendelea kulisakama lango la Newcastle katika dakika za nyongeza Sanchez aliwainua mashabiki wa Old Trafford kwa kupachika bao la tatu na ushindi kwa wenyeji.
 
Katika michezo mingine iliyochezwa leo Burnley ililazimishwa sare 1 – 1 na Huddersfield Town wakati Crystal Palace ikichapwa 0 - 1 na Wolverhampton Wanderers.

Leicester City ikiwa nyumbani ilikubali kichapo cha mabao 1 – 2 kutoka kwa Everton, wakati Tottenham Hotspur imeendeleza rekodi yake nzuri nyumbani kwa kushinda 1 - 0 dhidi ya Cardiff City huku Watford ikinyukwa 0 - 4 na AFC Bournemouth.
 
446640545_244568.jpeg
 
Back
Top Bottom