Kosa lake la kulazimisha Cosmological Constant katika nadharia yake ya General Relativity lilimgharimu na kumuumiza sana kwa sababu alikuwa hapendi kushindwa wala kukosea. Baadaye uzeeni alikiri kuwa hakuwa sahihi na kwamba kufanya makosa ni lazima kama unafanya kitu chenye maana hapa duniani. Cha muhimu tu ukijua kuwa hili ni kosa basi unakiri, unajifunza kutoka kwalo na kusonga mbele !
Naomba Man U wapigwe tena leo [emoji2099][emoji2099][emoji2099]ManU, Juve,Rmadrid na Simba uwanjani usiku huu
MarahabaaaaaShikamooo woooteeeeeee
Kama kawaidaLikes za weekend
Mkuu hata nikitimba dar Jd ,VAT 69 ndio mpangoDaaa mkuu hizo hapa daslam na hili joto maini yata tikisika! Japo mara moja moja napiga Jameson , Absolute Vodka, Jd au John mtembezi!
Amen.Naomba Man U wapigwe tena leo [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 888778
Likes za weekendLikes zinaendelea kutolewa
21 mins kashapigwa mbili kavuManU leo ni leo
YapUpendo udumu ndani ya uzi