mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Marhabaaa mtoto mzuriShikamooo woooteeeeeee
Marhabaaa mtoto mzuriShikamooo woooteeeeeee
Kwani siku zingine anatanguliza kichwa badala ya miguu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jokesMarahabaaaaaaa !!!
Naona leo umeamka vizuri...[emoji16][emoji16][emoji16]
Kama kawaidaHATUPOI
Tulitegemea hiliKocha msaidizi wa Simba Sc ametimuliwa na Club hiyo kwa kutokuwa na maelewano na boss wake Ausems
Inadaiwa Masoud juma hata pale uongozi ulipowasuluhisha masoud bado anaonekana kutokubaliana na boss wake
Hii itawagharimu sanaSimba wanawashwa na pesa, kwasasa hawajui wanachotaka, kila wanachokiona mbele yao wanakitaka
Naona mnamkataa kama wenger na GunnersEe kwa man u kuamua hatima ya kocha
Masoud fitina za bongo alishazijuaMafahali wawili hawatakaa zizi moja[emoji124] [emoji16] [emoji16]
Vigezo hanaAlitaka kuwa yeye coach mkuu [emoji3] [emoji3]
One ,two,three or fourHome alone
Hapo unipatiView attachment 888724
Karibuni weekend .