Haswaaa!Hao watanzania mda mwengine huzua ata yalokua sikweli I HATE SNITCHES.
Kuna nini? EPL ama?Leo ni leo
Marahabaaaaaaa !!!Shikamooo woooteeeeeee
Mara nyingi ukiwa na hela huwa zinawasha uzitumie tu hata kama huna mahitaji mengi
Ee kwa man u kuamua hatima ya kochaKuna nini? EPL ama?
Habar za leo wapendwa.
Mafahali wawili hawatakaa zizi moja[emoji124] [emoji16] [emoji16]Kocha msaidizi wa Simba Sc ametimuliwa na Club hiyo kwa kutokuwa na maelewano na boss wake Ausems
Inadaiwa Masoud juma hata pale uongozi ulipowasuluhisha masoud bado anaonekana kutokubaliana na boss wake
Njema sana. Kwako salama?