Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

02F19EA5-8A89-4E92-A316-281A3088E17C.jpeg
 
*MUHIMU KWA WALIOOA*
Usipende kumwambia mkeo kila kitu ukidhani ndio mapenzi.. Kama hunielewi nasema nini nenda kamuulize Ibrahimu kwanini hakumwambia mkewe Sara siku alipotaka kwenda kumtoa mwanae Isaka sadaka. Usijidai kuwa wewe una mahaba kuliko Ibrahimu. Mengine baki nayo kifuani kwaajili ya faida ya baadae.
*KWISHA*

Nimewakilisha kiaina [emoji1321]‍♂[emoji1321]‍♂[emoji1321]‍♂[emoji1321]‍♂[emoji1321]‍♂[emoji1321]‍♂
 
Usijili wa Simba sidhani kama ulizingatia mahitaji, msimu uliopita Simba ilikuwa na kikosi kizuri sijui walipata ushauri wa nani kupunguza na kuongeza wengine. Acha tuone
Kaimu Rais wa @simbasctanzania, Salim Abdallah (Try Again) amethibitisha kuwa taarifa zilipo za kutoelewana kwa makocha wa klabu hiyo ambao ni kocha mkuu Patrick Aussems na kocha msaidizi Masoud Djuma wa klabu hiyo ni za kweli.

Try Again amesema wao kama viongozi wamejitahidi sana kutatua matatizo hayo lakini imeshindikana.

Aidha Try Again amesema kuwa taarifa zaidi kuhusu swala hilo zitakuja muda si mrefu.

#nijuzehabariupdates
#@simbasctanzania
 
*MUHIMU KWA WALIOOA*
Usipende kumwambia mkeo kila kitu ukidhani ndio mapenzi.. Kama hunielewi nasema nini nenda kamuulize Ibrahimu kwanini hakumwambia mkewe Sara siku alipotaka kwenda kumtoa mwanae Isaka sadaka. Usijidai kuwa wewe una mahaba kuliko Ibrahimu. Mengine baki nayo kifuani kwaajili ya faida ya baadae.
*KWISHA*

Nimewakilisha kiaina [emoji1321]‍[emoji2383][emoji1321]‍[emoji2383][emoji1321]‍[emoji2383][emoji1321]‍[emoji2383][emoji1321]‍[emoji2383][emoji1321]‍[emoji2383]
Una pointi. Kuna mambo inabidi umwambie wakati umeshayatekeleza. Na mengine hupaswi kusema ng'o mf. Crisis za michepuko n.k. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1549]‍[emoji2383]️[emoji1549]‍[emoji2383]️[emoji1549]‍[emoji2383]️
 
Back
Top Bottom