capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Yes. Taya safi kabisa huyu dah !!!
Kigali laivu [emoji7][emoji7][emoji7]
Haha hahYes. Taya safi kabisa huyu dah !!!
Na hilo tabasamu uwiiii !!!
Mkuu huyu peleka posa immediately kabla wajanja hawajakuwahi
She is hotSafii
Labda anizalie tuu, huyu hafai kwa matumizi ya ndani!Mkuu huyu peleka posa immediately kabla wajanja hawajakuwahi
The Nevada Athletic Commission probably gonna suspend him. The UFC also is likely to levy heavy fines. Childish antics !!!
Kwa nini bro? Unaogopa kuchapiwa? Wanasemaga kuoa mwanamke mrembo ni sawa na kulima miwa karibu na shule ya boarding ya wavulana [emoji16][emoji16][emoji16]Labda anizalie tuu, huyu hafai kwa matumizi ya ndani!
Lala salama jirani...[emoji1545][emoji1545][emoji1545]Usiku mwema kwetu wooote
Nmeona high lights tu .. amefanya nini tena Conor.?The Nevada Athletic Commission probably gonna suspend him. The UFC also is likely to levy heavy fines. Childish antics !!!
Kabisaa mkuu,Kwa nini bro? Unaogopa kuchapiwa? Wanasemaga kuoa mwanamke mrembo ni sawa na kulima miwa karibu na shule ya boarding ya wavulana [emoji16][emoji16][emoji16]