capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
đź’Ż
Jana. Siyo Connor. Ni huyo Habib. Connor was choked out watu wanajaribu kumsaidia. Habib aliyeshinda akaruka nje ya Octagon kwenda kwenye kambi ya Connor na kuanza kuzichapa kavu kavu na jamaa mmoja huko. Halafu jamaa wawili wa kambi ya Habib wakaingia ndani ya Octagon na kuanza kumtandika Connor wakati akiwa bado anasaidiwa. Nadhani walimgonga na ngumi za kisogo kama mbili hivi kabla mapolisi hawajaingilia kati na kutuliza ghasia. Watu watatu kwenye kambi ya Habib walikamatwa na pesa zake hajalipwa zimeshikiliwa na Nevada Athletics Commission.Nmeona high lights tu .. amefanya nini tena Conor.?
Imagine if you are feeding her the thing...Dah !!! [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Sina hakika mkuu, kinogesho tu shyShinyanga?
Jana. Siyo Connor. Ni huyo Habib. Connor was choked out watu wanajaribu kumsaidia. Habib aliyeshinda akaruka nje ya Octagon kwenda kwenye kambi ya Connor na kuanza kuzichapa kavu kavu na jamaa mmoja huko. Halafu jamaa wawili wa kambi ya Habib wakaingia ndani ya Octagon na kuanza kumtandika Connor wakati akiwa bado anasaidiwa. Nadhani walimgonga na ngumi za kisogo kama mbili hivi kabla mapolisi hawajaingilia kati na kutuliza ghasia. Watu watatu kwenye kambi ya Habib walikamatwa na pesa zake hajalipwa zimeshikiliwa na Nevada Athletics Commission.
Leo Habib anaulizwa anasema kwamba jamaa mmoja kwenye kambi ya Connor alikuwa anamtukania baba yake, dini yake na nchi yake. Ndiyo ikabidi aruke nje kwenda kukata mzizi wa fitina...
Dah! Staki hata kuwaza BroImagine if you are feeding her the thing...Dah !!! [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Mrusi yuko vizuri sana. Yuko 27-0. Connor yeye ni mfanya biashara na yuko tayari kufanya lolote ili kusisimua mashindano yake. Kwa Mayweather alivuka $50 mil +. Sasa hivi anamtaka Anderson Silva japo pia anataka pambano la marudiano na Habib. Yote mapambano yatakayomwingizia mkwanja wa uhakika...View attachment 890116
Okay hii meme nliona ila sikujua alikua anafanya nini hasa. Anajiaribia huyu mrusi. Thou nlifurahi kuskia kamchpa Connor
Umakini[emoji3] [emoji3]Jana tulikuwa na PROFFESA wetu kule chuo.
alafu akatuambia "kazi ya udaktari inahitaji vitu viwili KUTOKUWA na KINYAA NA UMAKINI.[emoji855][emoji855]
alafu akachukua kidole chake akaingiza matakOni kwa MAITI kisha akakilamba....[emoji23][emoji23]
kisha akatuamuru na sisi tufanye.......basi sisi wote tukaingiza vidole vyetu na tukalamba. [emoji23][emoji23]
akatumbia kwenye KUTOKUWA NA KINYAA mmefaulu..[emoji23][emoji23]
ila kwenye umakini MMEFELI maana mimi niliingiza kidole cha kati nikalamba cha PILI yake[emoji23][emoji23]
ila nyie mmeingiza cha kati na mmelamba hicho hicho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
YAANI MPAKA SAIV CJUI YULE DAKTAR ANA HALI GANI [emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Najua mkuu. Ni utani tu....Sina hakika mkuu, kinogesho tu shy
"Mmmh wala sijui kuna nini"Nini kinaendelea humu