Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nmeona high lights tu .. amefanya nini tena Conor.?
Jana. Siyo Connor. Ni huyo Habib. Connor was choked out watu wanajaribu kumsaidia. Habib aliyeshinda akaruka nje ya Octagon kwenda kwenye kambi ya Connor na kuanza kuzichapa kavu kavu na jamaa mmoja huko. Halafu jamaa wawili wa kambi ya Habib wakaingia ndani ya Octagon na kuanza kumtandika Connor wakati akiwa bado anasaidiwa. Nadhani walimgonga na ngumi za kisogo kama mbili hivi kabla mapolisi hawajaingilia kati na kutuliza ghasia. Watu watatu kwenye kambi ya Habib walikamatwa na pesa zake hajalipwa zimeshikiliwa na Nevada Athletics Commission.

Leo Habib anaulizwa anasema kwamba jamaa mmoja kwenye kambi ya Connor alikuwa anamtukania baba yake, dini yake na nchi yake. Ndiyo ikabidi aruke nje kwenda kukata mzizi wa fitina...
 


Okay hii meme nliona ila sikujua alikua anafanya nini hasa. Anajiaribia huyu mrusi. Thou nlifurahi kuskia kamchpa Connor
 
View attachment 890116

Okay hii meme nliona ila sikujua alikua anafanya nini hasa. Anajiaribia huyu mrusi. Thou nlifurahi kuskia kamchpa Connor
Mrusi yuko vizuri sana. Yuko 27-0. Connor yeye ni mfanya biashara na yuko tayari kufanya lolote ili kusisimua mashindano yake. Kwa Mayweather alivuka $50 mil +. Sasa hivi anamtaka Anderson Silva japo pia anataka pambano la marudiano na Habib. Yote mapambano yatakayomwingizia mkwanja wa uhakika...
 
Umakini[emoji3] [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…