ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Hongera zake....Lulu Jemimah, raia wa Uganda na mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Oxford nchini Uingereza ameamua kujioa mwenyewe baada ya maneno ya kila wakati toka kwa wazazi & ndugu kutaka aolewe. Lulu mwenye umri wa miaka 32 ni mwanafunzi wa shahada ya uzamili katika chuo hicho mashuhuri duniani.View attachment 891548
Rick Flair - The Nature Boy Wuuuuuuuuuu !!!
Who doesn't bro?I love pretty girls