Hahahaha kupotea kama koteKupotea gani huko??
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nakubaliana nawe, muda!Hakuna kuishiwa nguvu, chama ni watu, katibu mkuu ana mawazo chanya, anaangalia uwezekano wa kuweka sawa pale palipovurugwa. Sasa ni lazima aanze kuwandaa wenzake kisaikolojia. Naamini kwa kauli kama hizi akishindwa kurekebisha mambo anapaswa akae pembeni. Tusubiri tuone
[emoji102]Hahahaha kupotea kama kote
Nilikuwa soba hausi [emoji6][emoji6][emoji6]