Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1539076022583.jpg
 
*KWA NINI KIHARUSI MARA NYINGI HUTOKEA* *BAFUNI AU CHOONI.*

*Nawashauri watu msioshe kichwa na nywele mwanzo mnapo anza [emoji371]kuoga! Ni makosa makubwa haya, hii inasababisha kubadilisha hali ya ujoto katika mwili wako haraka sana (na miili yetu ina Damu ya [emoji621]moto) na hivi kufanya mishipa ya Damu* inayopeleka kwenye ubongo kuchanika na kupasuka na inahatarisha kwa binaadamu kupata kiharusi kwa haraka sana.

*Njia nzuri ya mtu* kuoga ni kuanza kutia maji katika mwili au miguu kwanza kabla ya kichwa ili kuweza kuupa mwili uzoefu na kufanya usawa katika ujoto wa Damu.

*Sambaza kwa wote* uwapendao ili kunusuru kwa maradhi haya mabaya.
 
Chama kimuonye haraka Dr. Bashiru. Lazima ajitofautishe yeye wa kipindi kile akichambua siasa kwenye TV na radio na yeye wa sasa akiwa katibu mkuu wa chama. Anatakiwa kuwa mkweli na muwazi yes, lakini uwazi wa kiwango gani, wapi na kwa nani.
 
Lazima atofautishe mambo ya kuzungumza ndani ya vikao vya ndani vya chama na yale ya majukwaa ya umma. Lakini hata ndani ya vikao vya chama yapo unayoweza kuzungumza CC lakini huwezi kuyazungumza NEC. Ninachosema ni kuwa ukweli na uwazi unaendana na wapi na kwa nani. Ukweli na uwazi ukikosa haya mawili ya WAPI na KWA NANI ni sumu mbaya sana.
 
Siasa, wanasiasa na wanaharakati. Pembetatu isiyo na pembe...
 
Back
Top Bottom